Kiyauma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyauma ni lugha ya Kibantu hasa nchini Angola inayozungumzwa na Wayauma. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kimbunda. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiyauma imehesabiwa kuwa watu 17,100. Pia kuna wasemaji 5,100 (2006) nchi ya Zambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiyauma iko katika kundi la K20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyauma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.