Kiyankunytjatjara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyankunytjatjara ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wayankunytjatjara katika majimbo ya Australia Kusini na Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiyankunytjatjara 560. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyankunytjatjara kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyankunytjatjara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.