Nenda kwa yaliyomo

Kiyango

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiyango (lugha))

Kiyango ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wayango. Mwaka wa 1986 idadi ya wasemaji wa Kiyango imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyango iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyango kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.