Kiyandjibara
Mandhari
Kiyandjibara kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayandjibara katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiyandjibara ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyandjibara kiko katika kundi la Kimariki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiyandjibara kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiyandjibara
- lugha ya Kiyandjibara katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyandjibara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |