Kiyanda (Australia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyanda ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wayanda katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2012 kulikuwa na wasemaji wachache tu, yaani lugha ya Kiyanda imo hatarini mwa kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyanda kiko katika kundi la Kimariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyanda (Australia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.