Kiyan-Nhangu
Mandhari
Kiyan-Nhangu (au Kinhangu) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wayan-Nhangu katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kiyan-Nhangu saba tu, na lugha imo hatarini mwa kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyan-Nhangu kiko katika kundi la Kiyolngu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiyan-Nhangu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiyan-Nhangu
- lugha ya Kiyan-Nhangu katika Glottolog
- lugha ya Kiyan-Nhangu katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyan-Nhangu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |