Kiyamphu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyamphu ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wayamphu. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiyamphu imehesabiwa kuwa watu 9210. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiyamphu iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyamphu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.