Kiyalgawarra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyalgawarra (pia Kiflinders-Island) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayalgawarra katika jimbo la Queensland kwenye kisiwa cha Flinders Island. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiyalgawarra ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyalgawarra kiko katika kundi lake lenyewe la Flinders Island.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyalgawarra kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.