Kiyahang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiyahang ni lugha ya Kitorricelli nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wayahang. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiyahang imehesabiwa kuwa watu 1430. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyahang iko katika kundi la Kimaimai.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyahang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.