Kiyagaria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyagaria ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wayagaria. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kiyagaria imehesabiwa kuwa watu 21,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyagaria iko katika kundi la Kigorokan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyagaria kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.