Kixegwi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kixegwi ilikuwa lugha ya Khoisan nchini Afrika Kusini iliyozungumzwa na Waxegwi. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kixegwi tena, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kixegwi kiko katika kundi la Kituu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kixegwi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.