Kixam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kixam ilikuwa lugha ya Khoisan nchini Afrika Kusini iliyozungumzwa na Waxam. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kixam tena, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kixam kiko katika kundi la Kituu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kixam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.