Kiwushi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kiwushi (lugha))
Kiwushi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wawushi. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kiwushi imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwushi iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiwushi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwushi
- lugha ya Kiwushi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bse
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwushi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |