Kiwotu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwotu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawotu kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiwotu imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwotu iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwotu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.