Kiwotjobaluk
Mandhari
Kiwotjobaluk kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawotjobaluk katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwotjobaluk ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwotjobaluk kiko katika kundi la Kimariki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiwotjobaluk kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwotjobaluk
- lugha ya Kiwotjobaluk katika Glottolog
- lugha ya Kiwotjobaluk katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwotjobaluk kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |