Kiwongo (lugha)
Mandhari
Kiwongo ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wawongo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiwongo ilihesabiwa kuwa watu 12,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiwongo iko katika kundi la C90.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Lugha ya Kiwongo kwenye Multitree
- Makala za OLAC kuhusu Kiwongo
- Lugha ya Kiwongo katika Glottolog
- Lugha ya Kiwongo kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwongo (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |