Kiwoiwurrung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maeneo ya lugha za Kikulin; Kiwoiwurrung kiko upande wa Mashariki (rangi ya manjamo).

Kiwoiwurrung kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawurundjeri katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwoiwurrung ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwoiwurrung kiko katika kundi la Kikulin.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwoiwurrung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.