Kiwoi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwoi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawoi kwenye visiwa vya Miosnum na Serui. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kiwoi imehesabiwa kuwa watu 1800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwoi iko katika kundi la Kiyapen.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwoi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.