Kiwiru
Mandhari
Kiwiru ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wawiru. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiwiru imehesabiwa kuwa watu 15,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwiru iko katika kundi lake lenyewe la Kiwiru.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiwiru kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwiru
- lugha ya Kiwiru katika Glottolog
- lugha ya Kiwiru kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwiru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |