Kiwirangu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la Kiwirangu

Kiwirangu ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawirangu katika jimbo la South Australia. Mwaka wa 2011, kulikuwa na wasemaji wa Kiwirangu wawili tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwirangu kiko katika kundi la Kiyura.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwirangu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.