Kiwipi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwipi ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wawipi. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiwipi imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiwipi iko katika kundi la “Eastern Trans-Fly”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwipi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.