Kiwergaia
Mandhari
Kiwergaia ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawergaia katika jimbo la Victoria. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kiwergaia watano tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwergaia kiko katika kundi la Kulin.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiwergaia kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwergaia
- lugha ya Kiwergaia katika Glottolog
- lugha ya Kiwergaia katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwergaia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |