Kiwe-Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kiwè-Kusini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wawè. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiwè-Kusini imehesabiwa kuwa watu 293,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwè-Kusini iko katika kundi la Kikru.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwe-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.