Kiwe-Kaskazini
Mandhari
Kiwè-Kaskazini (pia Kiwobé) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wawè. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiwè-Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 156,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwè-Kaskazini iko katika kundi la Kikru.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiwobe kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwobe
- lugha ya Kiwobe katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/wob
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwe-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |