Kiwauyai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwauyai ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawauyai kwenye kisiwa cha Waigeo. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiwauyai imehesabiwa kuwa watu 300 tu. Wawauyai wengi wameanza kuacha lugha yao na kutumia lugha nyingine, maana lugha ya Kiwauyai iko hatarini mwa kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwauyai iko katika kundi la Kicenderawasih.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwauyai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.