Kiwatiwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwatiwa (au Kidumpu) ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wawatiwa. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiwatiwa imehesabiwa kuwa watu 510. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwatiwa iko katika kundi la Kimadang.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwatiwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.