Nenda kwa yaliyomo

Kiwasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwasa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wawasa. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiwasa imehesabiwa kuwa watu 309,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwasa iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwasa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.