Kiwarungu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwarungu (au Kiwarrongo) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawarungu katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwarungu ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwarungu kiko katika kundi la Kimariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwarungu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.