Kiwarrwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiwarrawai)
Maeneo ya lugha za asili karibu na mji wa Derby, pamoja na Kiwarrwa (kijani)

Kiwarrwa (au Kiwarrawai) ilikuwa lugha ya asili nchini Australia iliyozungumzwa na Wawarrwa katika jimbo la Australia ya Magharibi. Hakuna wasemaji wa Kiwarrwa ambao wamebaki kuzungumza lugha, yaani lugha imetowekakabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiwarrwa kiko katika kundi la Kinyulnyulan. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kinyigina.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwarrwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.