Kiwaropen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwaropen ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawaropen kwenye kisiwa cha Serui. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiwaropen imehesabiwa kuwa watu 6000. Kwa vile Wawaropen wengi wameanza kuacha lugha yao na kutumia lugha nyingine, lugha ya Kiwaropen iko hatarini mwa kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwaropen iko katika kundi la Kicenderawasih.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwaropen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.