Kiwarluwara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwarluwara kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawarluwara katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwarluwara, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwarluwara kiko katika kundi la Kiwarluwariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwarluwara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.