Kiwar-Jaintia
Mandhari
Kiwar-Jaintia ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wawar-Jaintia. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiwar-Jaintia nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 25,900. Pia kuna wasemaji 16,000 nchini Bangladesh (2003). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiwar-Jaintia iko katika kundi la Kikhasi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiwar-Jaintia kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwar-Jaintia Archived 4 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiwar-Jaintia katika Glottolog
- lugha ya Kiwar-Jaintia kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwar-Jaintia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |