Kiwantoat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwantoat ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wawantoat. Mwaka wa 1978 idadi ya wasemaji wa Kiwantoat imehesabiwa kuwa watu 8200, lakini tangu pale lugha imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwantoat iko katika kundi la Kifinisterre.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwantoat kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.