Nenda kwa yaliyomo

Kiwanman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwanman ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawanman katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiwanman wanne tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwanman kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwanman kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.