Nenda kwa yaliyomo

Kiwalmajarri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwalmajarri ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawalmajarri katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiwalmajarri 510. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwalmajarri kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwalmajarri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.