Kiwaling

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwaling ilikuwa lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal iliyozungumzwa na Wawaling. Hkuna wasemaji wa Kiwaling, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiwaling iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwaling kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.