Kiwali (Ghana)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwali ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wawali. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiwali imehesabiwa kuwa watu 138,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwali iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwali (Ghana) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.