Nenda kwa yaliyomo

Kiwala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwala ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wawala kwenye kisiwa cha Malaita. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiwala imehesabiwa kuwa watu 6980. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwala iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.