Kiwageman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwageman (pia Kiwagiman) ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Wawageman katika ya jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2000, kulikuwa na wasemaji wa Kiwageman kumi tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwageman kiko katika kundi lake lenyewe la Kiwagiman.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwageman kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.