Kiwadjiginy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiwagaydy)

Kiwadjiginy (au Kiwagaydy) ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wawadjiginy katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kiwadjiginy watano tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwadjiginy kiko katika kundi la Kiwagaydy ambalo huitwa kulingana na jina la lugha hiyo yenyewe.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwadjiginy kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.