Kiwadjabangayi
Mandhari
Kiwadjabangayi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawadjabangayi katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwadjabangayi ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwadjabangayi kiko katika kundi la Kimariki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiwadjabangayi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwadjabangayi
- lugha ya Kiwadjabangayi katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwadjabangayi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |