Kivishavan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kivishavan ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wavishavan. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kivishavan imehesabiwa kuwa watu 150 tu. Miaka ya 1980 Wavishavan wengi walifia maradhi ya ndui, na tangu pale lugha yao imeendelea kufifia. Uainishaji wa lugha ya Kivishavan kwa ndani zaidi haujulikani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kivishavan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.