Kivasavi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kivasavi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wavasavi. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kivasavi imehesabiwa kuwa watu 1,200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kivasavi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kivasavi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.