Kivarli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kivarli ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wavarli. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kivarli imehesabiwa kuwa watu laki sita. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kivarli iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kivarli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.