Kivanuma (lugha)
Mandhari
Kivanuma ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wavanuma. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kivanuma imehesabiwa kuwa watu 6700. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kivanuma iko katika kundi la D30.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kivanuma kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kivanuma
- lugha ya Kivanuma katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/vau
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kivanuma (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |