Nenda kwa yaliyomo

Kivame

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kivame ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wavame. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kivame imehesabiwa kuwa watu 8500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivame iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kivame kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.