Kivagla
Mandhari
Kivagla ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wavagla. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kivagla imehesabiwa kuwa watu 13,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivagla iko katika kundi la Kigur.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kivagla kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kivagla
- lugha ya Kivagla katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/vag
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kivagla kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |