Kiurak-Lawoi'

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiurak-Lawoi' ni lugha ya Kiaustronesia nchini Uthai inayozungumzwa na Waurak-Lawoi'. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kiurak-Lawoi' imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiurak-Lawoi' iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiurak-Lawoi' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.