Nenda kwa yaliyomo

Kiumpila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiumpila ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Waumpila katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kiumpila 12 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiumpila kiko katika kundi la Kipaman.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiumpila kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.