Kiuma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiuma (pia Kipipikoro) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wauma kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiuma imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiuma iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiuma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.